Unaambiwa Kwenye Mapenzi Usiwe Mkweli Asilimia 100% Wengi Tumezoea Kudanganywa Ukisema Ukweli Umefeli
0
February 29, 2020
Fahamu: Inaelezwa katika mahusiano usiwe mkweli kwa asilimia 100% na kama umeamua kuwa mkweli sana ishia 99% la sivyo unaweza kusambaratisha penzi lako ukiwa mkweli sana ikielezwa watu wengine hawajazoea kuambiwa ukweli hata umwambie ukweli kwa nia njema sababu unampenda yeye ataona ni uongo au wewe sio mwaminifu. Hivyo mengine baki nayo moyoni mwako usimwambie mpenzi wako
Tags