UPDATE: Idadi ya Watu waliofariki dunia kutokana na #CoronaVirus Ulimwenguni imefikia 2,619


Aidha, Watu 79,356 Ulimwenguni wameambukizwa virusi hivyo huku idadi ya Walioambukizwa ikifikia 600 kwa Korea Kusini na nchini Italia ikipanda kutoka watatu hadi Watu 152 ndani ya Wikiendi
-
Kwa mujibu wa Mamlaka ya Afya nchini China (NHC), Watu 24,734 waliokuwa wameathirika na virusi hivyo wamerejea katika afya zao za kawaida na kuruhusiwa kutoka hospitalini
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad