UPDATE: Virusi vya Corona Vyaendelea Kuitesa Dunia....



#Coronavirus vimeua Watu 492 Ulimwenguni hadi sasa ikiwa ni ongezeko la Watu 65 ndani ya takriban saa 24

Wengi waliofariki ni Raia wa #China huku Mji wa #Wuhan ukiongoza

Zaidi ya Watu 24,500 wameathirika katika Nchi 25
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad