IRENE Uwoya "Napenda Sana Kunywa POMBE ila Nachukia Kuoga"

Irene Uwoya amefunguka kuwa kitu anachokichukia zaidi katika maisha yake ni kuoga. Kitu anachokipenda zaidi ni kunywa pombe. Uwoya anayeishi Masaki ameongeza kuwa anapoamka asubuhi kabla ya kupiga mswaki lazima kwanza anywe mchemsho wa kuku

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad