VIDEO: Bakwata Watoa Tamko Nzito Baada ya Mtumishi wa Serikali Kuchana Quran Hadharani


Baraza la Waislam Tanzania (Bakwata) limetoa tamko kuhusiana na kitendo kilichofanywa na kijana alijulikana kwa jina la Daniel Malaki Elimringi ambapo amechana chana na kukitemea mate kitabu cha Quran tukufu huko eneo la Uzunguni wilayani Kilosa mkoani Mororogoro.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI.

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad