Video: Dr Mwaka Kafunguka Kuhusu Mke Wake Aliewahi Kuolewa na Mtu Mwingine


Mapya yanaendelea kuibuka ambapo Dr Mwaka FEB 25 alifunguka kupitia kipindi cha Ala za Roho kuhusu wanaomkosea kumuoa mke aliewahi kuolewa zamani.

Itazame hii video ujionee akifunguka kwenye kipindi cha Diva Loveness cha Ala za Roho kinachorushwa Radio Clouds FM

VIDEO:

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad