VIDEO: Vilio Vyatawala Wakati Wakutambua Miili ya Waliofariki...Wadai Serikali iingilie kati Watu Wamedanganywa Kukanyaga Mafuta


Vilio na simanzi vimetawala katika chumba cha kuhifadhi maiti katika hospitali ya Rufaa ya mkoa Kilimanjaro, wakati ndugu wakitambua miili ya ndugu zao 20 waliofariki kwa kukanyagana na kukosa hewa usiku wa Februari 1,2020.
wakati wakigombea mafuta yanayodaiwa kuwa na upako yaliyomwagwa na mtume Boniface Mwamposa na wasaidizi wake katika uwanja wa Majengo mjini Moshi

VIDEO:

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad