VIDEO..Spika wa BUNGE Achana Hotuba ya Rais Trump


Nancy Pelosi amechana nakala yake ya Hotuba ya Rais Donald Trump baada ya Rais huyo kumaliza kuhutubia

Rais Trump alitoa hotuba kuhusu ‘State of the Union’ Bungeni mbele ya Wabunge walioipigia makofi hotuba hiyo

Mapema kabla ya Trump kutoa hotuba hiyo, alimpita Spika huyo aliyekuwa akimpa mkono wa salamu na haijawa wazi kama Rais Trump alipuuza au hakuona jaribo la Spika la kutaka kumsalimia


Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad