Viongozi wa KANISA Wakamatwa na Polisi Kwa KOSA la Kuwauzia Waumini Wao Ticket za Kwenda Mbinguni



Viongozi wawili wa kanisa nchini Zimbabwe Titto Watts na mkewe Amanda Watts, wamekamatwa na Polisi nchini humo kwa kuuza tiketi za kwenda mbinguni kwa waumini wa kanisa lao.

Cha kusangaza ni kwamba watu kadhaa
wameripotiwa kununua tiketi hizo kwa gharama ya Us Dolla 500 kwa tiketi moja,hiyo gharama ni sawa na milioni 1.2 kwa fedha ya kitanzania
Tags

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad