Wahadhiri Wasimmisha Kazi kwa Unyanyasaji wa Kijinsia



Chuo Kikuu cha Ghana kimesimamisha wahadhiri wawili, Profesa Ransford Gyampo na Dk Paul Kwame Butakor, kwa vipindi tofauti bila mshahara.

 

Video iliyochukuliwa na waandishi ilionyesha udhalilishaji wa kijinsia wa wahadhiri hao katika taasisi kubwa huko Afrika Magharibi. Wote walikana madai hayo.

 

Kwa taarifa, chuo kikuu kimemsimamisha kwa miezi sita bila mshahara kwa Prof Gaympo na Dk Butakor kasimamishwa kwa miezi nne.

 

Wawili hao watapata mafunzo juu ya sera ya unyanyasaji wa kijinsia, na kanuni za maadili kwa wafanyikazi wa masomo. Wataanza kazi iwapo tathmini itakuwa chanya.

 

Wakati huo huo Nigeria, inatarajia kupitisha sheria ya kifungo cha miaka mitano kwa wanaopatikana na hatia ya unyasasaji wa kijinsia shuleni.

 

Chanzo: The Star Kenya



Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad