Watanzania 85 Wanatarajiwa Kunyongwa Kwa Kujihusisha na Dawa za Kulevya



Mamlaka ya Kuzuia #DawaZaKulevya Tanzania, imesema Watanzania 85 wanatarajiwa kunyongwa Mjini Hong Kong baada ya kupatikana na hatia ya kujihusisha na biashara ya dawa za kulevya

Kaimu Kamishna Jenerali wa mamlaka hiyo, James Kaji, amesema Watanzania hao walihukumiwa kwa Sheria ya nchi hiyo ambayo mtu akipatikana na hatia katika makosa ya #DawaZaKulevya adhabu yake ni kunyongwa

Aidha, Watanzania 265 walikamatwa nchini humo kwa kosa hilo hilo na tayari 130 wamehukumiwa

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad