Yanga Mdebwedo..Jinamizi la Sare Laendelea Kuikumba..



 Klabu ya Yanga imeendelea kuvuna pointi moja baada ya kutoka sare ya 1-1 dhidi ya Polisi Tanzania katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara uliopigwa kwenye dimba la Ushirika, Moshi.

FT: Polisi Tanzania 1-1 Yanga SC.
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad