Z Anto Afunguka Kurudiana na Binti Kiziwi – Video


GLOBAL TV imepiga stori na mwanamuziki wa Bongo Fleva anayetamba hivi sasa na ngoma yakee ya Nichape, Z Anto kuhusu mambo mbalimbali yanayohusu muziki wake lakini zaidi ni zile tetesi za kurudiana na aliyekuwa mke wake Binti Kiziwi ambaye hivi karibuni amerejea nchini akitokea Hong Kong alikokuwa amefungwa jela kwa madawa ya kulevya.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad