Zitto Kabwe Adai Barua yake Kwa Benki ya Dunia Kuhusu Mkopo wa Elimu Inapotoshwa




Mbunge wa Kigoma Mjini, Zitto Kabwe (ACT-Wazalendo), amedai kuna upotoshaji kuhusu barua aliyoiandika kwa Benki ya Dunia (WB) kuhusu mkopo wa Dola milioni 500 ambao Tanzania imeomba

Zitto amesema si lengo lake kuzuia misaada Nchini ila anafanya hivyo ili kuwalinda Watoto wa Kike wanaopata ujauzito wakiwa masomoni kwa madai ya kuwapo kwa ubaguzi katika mfumo rasmi wa elimu Nchini

Baada ya kutokea kwa sakata hili, Spika wa Bunge, Job Ndugai alimtaka Mwanasheria Mkuu wa Serikali kuchunguza kitendo hicho cha Zitto ili kuona kama kuna Jinai au la ili Mbunge huyo achukuliwe hatua
Tags

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. YAANI SIO HATUA KALI TU BALI IKIWEZEKANA HATUA ZIENDE KWENYE MAHESABU YA HEKA NAHISI ADHABU YAKE INGEMFAA SANA WENGI TUMECHUKIZWA

    ReplyDelete
  2. wall street ya Wazee wa Kigoma wamesha
    mjua na kubainisha jinsi alivyo pokewa
    akiwa ni kitoto cha Wakaribishwa huko Ujiji.. sasa kwa Usaliti huu Wamemuumbua. Asie yatakia meme Muhamiaji huyu. Na ya Kielectroniki anayo itmia ita chukuliwa na kufanya upekenyuaji... MSALITI NI KUSALITIWA NDIYO MAAAKE MCHANA TOLONTO HAKUNA MGAO WA BARRIKI BAADA YA KUUKOSA KWA MBUTA NANGA . ... HAILIKI

    ReplyDelete
  3. Muhamiaji Haramu,Hawezi kuwa Mzalendo.
    na Akijifanya mzalendo basi Kasoro na
    mapungufu kadha wa kadha yatadhihiri.

    Wall street ya Wazee wa Kigoma wamesha
    mjua na kubainisha jinsi alivyo pokewa
    akiwa ni kitoto cha Wakaribishwa huko Ujiji.. sasa kwa Usaliti huu Wamemuumbua. Asie yatakia meme Muhamiaji huyu. Na ya Kielectroniki anayo itmia ita chukuliwa na kufanya upekenyuaji... MSALITI NI KUSALITIWA NDIYO MAAAKE MCHANA TOLONTO HAKUNA MGAO WA BARRIKI BAADA YA KUUKOSA KWA MBUTA NANGA . ... HAILIKI

    ReplyDelete
  4. Sasa Zito, taifa zima la watanzania likinyimwa mikopo wa elimu ili mambo ya elimu kwa watanzania wote yawe yameharibika, ndio roho yako itasuuzika? Sababu uliyoyatamani yamekuwa? Je wewe ni wa wapi basi? Mbona furaha yako kuu ni kuona maisha ya watanzania yanaharibika? Je unastahili kuwa kiongozi katika ngazi yoyote ile? Uliupatapataje uongozi huu ulionao? Je ukipata opportunities za kuiangamiza nchi na watu wake je kweli wewe utalitetea taifa,? Sasa ukipata urais je utachekelea kuongoza watanzania waliokosa elimu sababu ulizuia mikopo ya elimu ili wasisome?

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad