Zitto KABWE Anaumwa, Kalazwa Marekani..Mahakama Yaelezwa


Heri Kimbita ambaye Mdhamini wa Zitto Kabwe, ameiambia Mahakama kwamba Zitto anaumwa na amelazwa Marekani. Madaktari wake wamemzuia asisafiri na apumzike siku zisizopungua kumi ili waangalie afya yake inaendeleaje
-
Kesi imeahirishwa hadi Februari 19, 2020
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad