Binafsi Siamini ni Kweli Tanasha na Mondi Wameachana..Tanasha Mwanamke Mpole


Binafsi Siamini ni Kweli Tanasha na Mondi Wameachana
Tanasha And Diamond Platnumz

Kwa upande wangu nimekuwa ngumu kuamini Tanasha na Mondi wameachana kwasababu hakuna strong reason ya kuachana kwao kwa wanaoeneza hizo tetesi. Huwezi kusema inaonekana wameachana eti kwasababu Tanasha ameunmfollow Diamond na familia yake kwani insta ndio maisha?

Nimeuzunishwa na wapambe wa Diamond especially wa mtandaoni kumshambulia kwa matusi na kejeli Tanasha ambao baadhi yao walikuwa wanamsifia kweli kweli hivi kwa mfano ikabainika hawajaachana sura zao wataziweka wapi?

Hivi unaanzaje kumtukana mtu wa aina ya Tanasha ambaye ni mpole Hana bifu na mtu.
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad