Bado Bado Aliyeuliwa na Polisi Alikuwa Amempeleka Mjamzito Haspitalini



Khamisi Juma Bega (49), bodaboda ambaye alipigwa na polisi kwa kutokaa ndani na kupelekea kifo chake, inadaiwa alikuwa ametoka hospitali kumpeleka mjamzito
-
Inadaiwa Khamisi alipigwa na maafisa wa polisi wakishinikiza kufuatwa kwa sheria ya kubaki ndani kwa kipindi hiki chenye tishio la #Covid19

Inasemekana alipigwa na hakuweza kupatiwa matibabu kwa usiku huo na alipaswa kutulia hadi kesho yake, hali iliyopelekea afariki kutokana na majeraha hayo

Kamanda wa Polisi Francis Mguli amesema watachunguza tukio hilo. Wakazi wameomba IGP awatahadharishe polisi kwenye kutumia nguvu katika kutekeleza
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad