Breaking News: NECTA yaahirisha mitiani ya kidato cha sita na ualimu
0Udaku SpecialMarch 19, 2020
Baraza la Mitihani nchini (Necta) limetangaza kuahirisha mitihani ya kidato cha sita na ualimu iliyokuwa ifanyikwe Mei 4 mwaka huu 2020 hadi pale itakapotoa taarifa mpya#MwananchiUpdates