Breaking News: Shafii Dauda Ahukumiwa Mwaka Mmoja Jela



Mahakama ya Kisutu imemhukumu mwandishi wa habari Shafii Dauda na Benedict Kadeghe ambaye ni mtaalamu wa Tehama kulipa faini ya Shilingi milioni tano kila mmoja ama kufungwa miezi 12 gerezani baada ya kukiri kosa lao la kuchapisha maudhui mtandaoni bila leseni.
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad