Chadema "Sisi sio Wabaguzi ndio Maana Tulitaka Kumlipia Mashinji"

Chama cha Demokrasia na Maendeleoa (Chadema),  kimesema wao sio wabaguzi makosa aliyoyafanya Vicent Mashinji alikuwa Chadema ndio maana waliamua kumlipia katika faini ambayo wametakiwa kulipa Sh milioni 350.

Mkurugenzi wa Mawasiliano, Itikadi, Uenezi na Mambo ya Nje wa Chadema, John Mrema amesema CCM imejitokeza kumlipia, hivyo kiwango kimepungia  na endapo kitazidi kuna jambo  ambalo watafanya.

“Sisi si wabaguzi makosa aliyoyafanya Vicent Mashinji alikuwa Chadema ndio maana tuliamua tumlipie ilikuwa ni sh milioni 350 ila CCM wamejitokeza kumlipia hivyo kiwango kimepungua na kikizidi kuna jambo tunaweza kufanya,” amesema Mrema

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Nyie kweli mnasweka Ruzuku.
    Hivyo Ruzuku zote nani anatia ndani..??

    Sasa mnataka kuhapisha kadi za ziada ili ziuzwe na kuusanya kodi.

    kama nilivyo kataa kwenye kikao jana hatuwezi kwenda kwa mwendo huu.

    Tutawambia nini Walala Hoi..???

    Ikibidi hata mimi ntatangaza kusepa na Saidi pia chale.

    ReplyDelete
  2. Nyie kweli mnasweka Ruzuku.
    Hivyo Ruzuku zote nani anatia ndani..??

    Sasa mnataka kuchapisha kadi za ziada ili ziuzwe na kuusanya kodi.

    kama nilivyo kataa kwenye kikao jana hatuwezi kwenda kwa mwendo huu.

    Tutawambia nini Walala Hoi..???

    Ikibidi hata mimi ntatangaza kusepa na Saidi pia chale. HAIWEZEKANI.

    Jamuhuri na Familia ya Marehemu Akwilina Akwilina wa kikata Rufaa kuongeza Dau Si TUMEUMIA..!!!

    Nasikia wako mbioni kuhakikisha Jamuhuri wanaitendea haki Familia kwa Rufaa katika siku 21 zijazo.

    ReplyDelete
  3. Nyie kweli mnasweka Ruzuku.

Top Post Ad

Below Post Ad