Changamkia DILI...Bilion 15 Kutolewa Ikiwa Utaleta Taarifa za Uhakika Kuhusu Alipo Kiongozi wa Boko Haram

Marekani imetangaza donge nono la dola $7 million zaidi ya billion 15 za Kibongo kwa mtu yeyote atakayetoa taarifa za uhakika kuhusu alipo Abubakar Shekau kiongozi wa kundi la Boko Haram nchini Nigeria. US Department of state wameweka mawasiliano Kwenye page Yao verified katika post husika

HIZI HABARI KAMA HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL BLOG <DOWNLOAD HAPA>

Haya sasa Changamkia Dili mtu wangu bilion 15 unakula mpaka uzeeke ndio zinaisha mfukoni
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad