Kumekuwa na tetesi kwamba eti mtu akinywa pombe hataweza kuambukizwa virusi hatari vya Corona.
Uvumi huo si kweli na Wizara ya Afya imetoa ufafanuzi na kuwataka Watanzania wazingatie miongozo mbalimbali ya namna ya kujikinga na virusi hivyo inayotolewa na serikali.