Kuna wasiokuwa na soni wala utu. Msanii wa Bongo Diamond Platinumz amewahamakisha wanamitandao baada ya kusema kwamba gari alililomkabidhi Tanasha Donna kama zawadi yake ya Birthday halikuwa lake(Tanasha) kuanzia mwanzo .
Wakati wa birthday hiyo ya Tanasha, Dimond aliutangazia ulimwengu mzima na kila mtu aliyetaka kujua jinsi anavyompenda Tanasha na kumpa zawadi hiyo kubwa na pia akamkabidhi mamake Sandra Kassim gari kama hilo. Lakini sasa inaibuka kwamba gari hilo halikuwa la Donna bali lilimilikiwa na Sandra . Majivuno yote hayo yalikuwa tu ya kupiga show off .
Leo mama Dangote ameamua kulipepeza gari hilo kwa msururu wa picha alizoweka mtandaoni . Mashabiki wamhoji mbona anafunika nambari ya usajili iwapo gari hilo ndilo lake. Alichofanya Sandra ni kutupa jumbe za vijembe na kejeli tazama ;
Diamond naye aliwachemsha sana watu kwa kuthibitisha fununu hizo kwa kuandika hivi katika ujumbe wa mamake;
“KULA MAISHA MAMAANGU, UMEPATA TABU SANA KUNILEA HADI LEO KUFIKA HAPA…FURAHA YANGU NI KUONA UNAFURAHI