Dr Mwaka Hataki Mchezo Kabisa..Aachia Ushahidi wa PICHA Kwamba Analala Kitanda Kimoja na Wake zake Wawili
1
March 28, 2020
Dr Mwaka Mtabibu wa magonjwa ya Wanawake Tanzania akiwa na wake wake wawili katika kitanda kimoja, Siku si nyingi Dr Mwaka na wakeze hao wawili alikaririwa akisema yeye na wake zake wanalala kitanda kimoja kitu ambacho kilileta ngumzo mitandaoni
Pichani ni Dr Mwaka ameamua kuvujisha picha kumaanisha alichokuwa anakisema kina ukweli
Tags
Sasa kuonyesha mitandaoni ili iweje,ujinga mtupu halafu hufanani na ujinga huu
ReplyDelete