Ebitoke "Mimi ni Mzuri Sana Msinifananishe na WEMA Sepetu Wenu"
0
March 19, 2020
"Msinifananishe na Wema Sepetu mimi ni mzuri kuliko Wema" - Amesema Ebitoke mrembo anayepewa nafasi kubwa kutwaa taji Miss Tanzania 2020
Mrembo Ebitoke ambaye pia ni mchekeshaji amechukua form ya kujiunga na mashindano ya Miss Tanzania Mwaka Huu, Pia amekaririwa akisema anampango wa kuingia katika siasa kwa kugombania Ubunge Mwaka huu wa Uchaguzi
Tags