"Hivi muna hii nguo huo mpasuo ulikua na maana gani kupasua mpaka tunaona vya ndani kiukweli ungekuwa mke wangu hiyoo nguo ningekuacha uivae ile unatoka unaenda kupanda gari naimalizia kuichana mpasuo hadi mgongoni,Sipendagi ujinga
Jamani hivi ni sawa kweli, Mtu uliyeokoka kupiga mpasuo wa hivi hahahahahahahaha Munalove njooooooooo..Mimi sijapenda kabisa Baba mlezi" ameandika Mbasha
Emmanuel Mbasha Amchamba MUNA Love Kisa Nguo ya Mpasuo Inayooshe Upaja nje
0
March 19, 2020
Emmanuel Mbasha amepost picha hiyo ya Munalove kisha kuandika
Tags