Geita: Mtuhumiwa afariki akiwa kituo cha Polisi




Kamanda wa Polisi mkoa wa Geita Mponjoli Mwabulambo, amethibitisha kuwashikilia watu watatu kwa kosa la mauaji ya mwanamke mmoja kutokana na imani za kishirikina. Lakini amesema mtuhumiwa mmoja amefariki.

Akiongea na waandishi wa habari leo Machi 14, 2020, amethibitisha kutokea kwa mauaji ya mwanamke huyo  mwenye umri wa miaka 56 na wanawashikilia watu watatu ambapo mmoja alipoteza maisha.

Kamanda Mponjoli ameelezea kwa kina sababu za mwanzoni za mauaji hayo.

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad