H Baba Amshukia Diamond Platnumz "Hawezi Kumpost Mtu Leo Uliesababisha Akauza Nyumba zake Tatu Kukulipa"


From @h.baba_ Mtu mzima mwenzio kumfanya mtoto mdogo kakua mwenzio juzi kawa mkubwa kuliko wewe uzinduzi wa AFROEAST MLIMANICITYHALL haujawai kutokea kwanza ndio juzi tumeshangaa mpaka sisi kama mlivyoshangaa nyinyi Mtu kauza nyumba zake tatu alipe deni bado pesa haikutosha akaanza kuangaika kulipa hukua na huruma yoyote roho yakibinadamu ilipotea leo unaanzaje kumpongeza mtu unataka upepo wake upite nao

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. H baba WE mpumbavu .

    kama una tafuta urafiki n'a harmonize huto upata ,kama nyi maragiki basi uta puguwa sababu konde ana juwa mazuri ya ya mondi .hauwezi Ku sema mondi hajawai kuku saidiya .

    Siku chukiii ila n'a chukiya ujinga ambao ume umba kichwani kwako

    ReplyDelete
  2. jamani etieee ,WE ulikuwa wapi wakati mondi ana angaika Ali rajabu awe harmonize ,kondeboy .
    kulipa pesa siya maagizo ya Simba ila mkataba .

    kama ume shindwa Ku fanya muziki muombe mungu aku onesha njiya nyingine siyo Ku ongeya u pumbavu .
    si tuko wengi mtaani huku Congo tuna Imani kuwa tuta saidiwa piya .
    WE uki anza tukana wanao saidiya watu uta tu peleka wapi .usha msaidiya Nani weee

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad