Hamisa Alamba DILI ya Coca Cola Kwa Mabilioni ya Pesa


Inasemekana Hamisa Mobetto alamba Dili la Ubalozi wa CocaCola Dili hilo linakadiriwa kuwa na thamani ya zaidi ya BILLION 1 za Kitanzania!!

Ameonekana katika anga za kampuni hiyo akiwa na Mwijaku kama inavyoonekana kwenye picha

Piga Kelelee kwa Balozi akeeee Neno Moja La Pongezi Kwake

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad