Huyu Hapa Mwanaume Handsome zaidi Duniani...Aliyefukuzwa Nchini Kwake Sababu ya Uhandsome Wake
0
March 20, 2020
Fahamu: Omar Borkan(30) mwanamitindo pia muigizaji wa nchini Iraq ndie anadaiwa kuwa mwanaume handsome zaidi duniani. Aliukwaa umaarufu mwaka 2013 baada ya kuripotiwa kufukuzwa nchini Saudi Arabia kwa kinachoelezwa ni sababu ya jamaa kuwa handsome wa kutupwa
Wewe unamuonaje ni kweli uhendisamu wake umevuka mipaka au?
Tags