Iran Bado Ina Kisirani Kwa Marekani "Tutaipiga Tena Marekani"
0
March 19, 2020
Rais wa Iran Hassan Rougani amesema Iran ilijibu na itaendela kujibu mashambulizi dhidi ya kifo cha Jenerali wa ngazi za juu wa Jeshi la Iran Qassem Soleimani aliyeuawa na Marekani akiwa Iraq
"Marekani imemuua Kamanda wetu tuliwajibu kwa kipigo kilichowaumiza Wanajeshi wao vibaya na tutawajibu tena hivi karibuni”
Tags