JPM Aagiza Fedha za Mbio za Mwenge Kupelekwa Wizara ya Afya



Rais John Magufuli ametangaza kusitisha mbio za Mwenge wa Uhuru kwa mwaka huu, zilizotarajiwa kuanza Aprili 2 huko Unguja, kutokana na mlipuko wa ugonjwa wa homa ya mapafu (COVID-19) unaosababishwa na virusi vya Corona

Amesema kuwa fedha zilizotengwa kwa ajili ya mbio hizo za Mwenge wa Uhuru zitapelekwa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto ili kuimarisha huduma za kinga dhidi ya corona.
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad