Kidoa Amuomba Msamaha Mbwana Samatta Kuhusu PICHA Zilizosambaa Wakiwa Pamoja

Mrembo Kidoa Ambae ni Video Vixen na Mwigizaji wa Bongo Movies Amesema Walitoka na Bwana Samatta Kwenye Hotel Fulani Dar Wakala na Kunywa hakuna Kingine walichofanya zaidi lakini picha zilisambaa kuwa ni Wapenzi Jambo hilo lilimboa Samatta akidhani Mrembo huyo anatafuta kiki.

HIZI HABARI KAMA HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL BLOG <DOWNLOAD HAPA>

Kidoa anasema anaomba radhi kwa hilo lakini sio yeye aliyesambaza Picha Hizo zilizoleta shida kipindi Samatta bado hajaoa



Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad