Watu mbalimbali katika mitandao ya kijamii wamelaani na kusikitishwa na kifo cha ayekuwa Mwenyekiti wa Sekta binafsi nchini (TPSF) Salum Shamte ambaye amefariki akiwa rumande kwa kosa la uhujumu uchumi.
Shamte ambaye alikamatwa na polisi Oktoba mwaka jana kwa agizo la Agizo la la mkuu wa mkoa wa Tanga na kupewa kesi ya Uhujumu Uchumi na mtoto wake tangu amefariki leo asubuhi Machi 30, 2020.
Kifo cha mfanybiashara maarufu Tanzania aliyekufa akiwa rumande chaibua mjadala wa haki za watuhumiwa
#RIPMzeeShamte really sad. Paraphrasing President @NAkufoAddo we can be able to expunge criminal records from people but we can’t bring back life.What we should do is;NEVER AGAIN shall we allow ONE MAN to capture the state,torture citizens and rupture families. #HambaKahleSalum pic.twitter.com/jpVH8RUeae— Zitto MwamiRuyagwa Kabwe (@zittokabwe) March 30, 2020
Hakuna kitu kinachonikera kama huu UJINGA wa MASHTAKA yasiyo na DHAMANI! Ni kinyume kabisa na KATIBA yetu, na MIKATABA yetu ya KIMATAIFA na #RuleOfLaw @judiciarytz wallah mnakera sana. https://t.co/frf4qMgdsr— fatma karume aka Shangazi (@fatma_karume) March 30, 2020
MFANYABIASHARA SALUM SHAMTE alikamatwa kwa agizo la RC-Tanga na kupewa kesi ya Uhujumu Uchumi na mtoto wake tangu OCT 2019, Leo nasikia amefariki dunia lockup(Mhimbili)chini ya ulinzi, it's very painfully. Hizi kesi za #UhujumuUchumi zinapoteza maisha ya watu wengi sanaðŸ˜ðŸ˜#RIP pic.twitter.com/epvWjwWN4K— Patrick Ole Sosopi (@PatricOleSosopi) March 30, 2020