Kimenuka! H.Baba Anunua Ugomvi wa Daimond na Harmonize "Kama Wewe Muungwana Mrudishie Hela zake"



Msanii wa kizazi kipya H. Baba ambaye amesaini katika Konde Gang na kwa sasa ameonekana kuwa karibu na Harmonize amempa makavu Daimond Platinums baada ya kupost albamu ya Afro EAST iliyozinduliwa siku ya jumamosi jijini Dar es Salaam na kumtaka arudishe hela za Harmonize.

Kupitia instagram ya H. Baba ameposti video ambayo amejirekodi na kumsema Daimond kuwa ni mnafki na siku zote walikuwa wakimsema vibaya kuwa hatofika mbali sasa kitendo cha kupost albam hiyo si kwamba anampenda Harmonize bali amezidiwa.

Ameposti video na kuanza kuandika maneno haya;
Ukweli Unauma Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni @harmonize_tz Utanisamehe kwa hili nazima nasimu.

Lakini katika maongezi yake amesikika akisema " Mipango yenu kila mnachotaka kufanya tumewastukia unakaa na watu unasema kuwa wewe ni muungwana ila wewe sio muungwana kiukweli kup[ost albamu si kwamba unamkubali ila umepost kwakuwa umezidiwa, alivyotoa wimbo wa kwanza uno ulitoa sapoti gani? alivyotoa singeli ndo mkasema kapotea kabisa.

Lakini nkwenye uungwana unapomsaidia mtu usiombe pesa mimi nataka nikukubali rudisha hela zake ili nipate kujua wewe ni muungwana na umepost kwa nia njema"

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Bwege mwenyewe. H Baba kasema ukweli some how, kama D anamtakia mema Hermonize amrudishie pesa zake na kolabo zao ziendelee tuone ule umoja wao ukiendelea

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad