Wakati mwingine bada majanga yakiamua kukuandama mpaka unaweza kujihisi mkosefu sana mbele za Mungu.
Imeelezwa kuwa Akaunti zote za fedha kama Mpesa na benki za Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe zimefungwa.
Unaweza kusema akaunti hizo zimefungwa wakati mbaya kwani hivi sasa yupo Gerezani na amehukumiwa kulipa faini ya takribani Sh 100 milioni.
Hata hivyo licha ya kufungwa kwa akaunti hizo wananchi mbalimbali bado wanaendelea kuchanga fedha zao ili kiongozi huyo aweze kuachiliwa.
Tayari Bulaya, Matiko na Mdee wameachiliwa na hivi sasa Chadema iemfanya malipo kwa ajili ya kuachiwa kwa Msigwa, Mnyika na Mwalimu hivyo amebakia Heche na Mbowe.
"Na wanajua wamefunga akaunti zote za Mwenyekiti wetu wa Chama Taifa @freemanmbowetz mpaka @VodacomTanzania m-pesa yake, wamefunga wanajua, kwa ile adhabu pale haikuwa bahati mbaya walijua hatuna hela wanajua" @halimamdee (Mb)#TumeHuruyaUchaguzi#NoHateNoFear#Chadema pic.twitter.com/u4OJaM8zUe— CHADEMA Tanzania (@ChademaTz) March 12, 2020
Msijibabaishe na huyu Mchota Ruzuku. CAG Alisha Sema.
ReplyDeleteNA kwa Taarifa yako Jamuhuri wanakata Rufaaa baada ya Wana Familia Kuomba Dau halifanani na Upotezaji WA maisha ya Mwana chuo Akwina Akwilina umizingatia Wazazi WA Marehemu NI WATU wazima Umuri umekwenda na Akwilina LIKUWA TEGEMEO KTK FAMILIA.
Mjipange ki Sawa Sawa..!!