Zikiwa zimepita siku kadhaa tangu Mkurugenzi wa Mashtaka nchini (DPP), Biswalo Mganga, kuahidi kuwa atamchukulia hatua Mbunge wa Arusha Mjini Godbless Lema, kwa kuwa alitoa taarifa za uongo kuhusu mauaji ya watu 14 mkoani Singida, Mbunge huyo ametoa kauli zake pia.
Mbunge Lema amedai kuwa, DPP hana mamlaka ya kisheria ya kuita vyombo vya habari na kuanza kumhukumu hata kabla ya mahakama haijamhukumu.
"DPP alisema kuna jambo yeye na ofisi yake watajua watalifanya, kauli yangu ni moja kwako mimi sikuogopi, unaweza ukafanya chochote unachotaka kukifanya kwangu, nina kesi nyingi mahakamani unaweza kushauri chochote" amesema Lema.
your posting style is very awesome thanx for sharing keep it up........Ummy Video Downloader License Key + Crack Latest 2020
ReplyDeleteUkitaka Lema aweweseke Mwambie Mrisho Gambo anakuja.
ReplyDeletePLESHA na Sukali zote Zina panda wakati mmoja. JUNI IMEKALIBIA JIMBO ANAPOTEZA AIRTIME HAINA HAJA KUMPA HUYU MTOVU WA NIDHAMU ASIYE NA ADAMU. ANAWEZA KUJIBU HIVI DDP. KAKOSA ADABU MPAKA BUNGENI KISA SIGARA ZISIZOKUWA NA TRADE MAKE MSOKOTO..RASTAMANI.