Makonda Amjibu Waziri Suala la Kumtangaza Mtoto wa Mbowe Kuwa na Corona Asema "Nipo Sahihi Asilimia 100"



Baada ya Waziri wa afya kumkosoa Mkuu wa Mkoa wa Dar e Salaam kwa kitendo chake cha kumuanika hadharani motto wa Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe kuwa ni mgonjwa wa Corona Kamishina huyo wa jiji kubwa nchini ameibuka na alikuwa sahihi asilimia 100.

Mapema leo Ummy alisem kitendo kichofanywa na Makonda machi 24 kilikuwa kinakiuka taratibu za kitababu ambazo zinaelekeza kuwa ugonjwa ni siri ya mtu ndiyo maana hata yeye hajawahi kumtaja mgonjwa yeyote kwa jina.

Kaka yangu Mbowe, Corona haina chama' - Makonda | East Africa ...

Baada ya kauli hiyo Makonda amesema

“Waziri yupo sahihi 100% na mimi nipo sahihi 100%, mimi ndio mwenyekiti wa usalama Mkoa wa DSM, nimepata taarifa mgonjwa alikuwa nyumbani anauguzwa nyumbani badala ya kupelekwa sehemu husika, ndio maana baada ya kutamka Mtoto akapelekwa karantini”.

Amesema Ummy yupo sahihi kwa mujibu wa tarartibu za Wizara ya afya naye yupo sahihi kwa mujibu wa taratibu zake kama mkuu wa mkoa na Mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama ya mkoa na alifanya vile ili kudhibiti kuendelea kuenea kwa maambukizi ndiyo maana baada ya pale motto wa Mbowe alipelekwa karantini.

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Alichofanya Mh Makondani Sahihi.
    Na itabidi kufugua Fit Degree premediated muda kessy . Baada yakujua unamgoonjwa wa kolnawithyour status and easy acessto country Higher leadership possible uabukizaji.

    pia Ummy mwalimuyukosawa kmaadili.

    Biwalo analiangali suala tete hili.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad