Mama Aliyedhulumiwa Hela za Vikoba Amangukia Magufuli


Mama Mmoja, Jestina Ng’owo amejitokeza mbele ya Rais Magufuli kuomba msaada akidai kuna mwenzao mmoja aliwadhulumu Tsh. Milioni 25 katika Kikundi cha Kikoba huko Mbezi.

Mama huyo amesema walishampeleka Polisi (Kituo cha Gogoni) huyo mama aliyewatapeli na walishafungua kesi Mahakama ya Wilaya lakini hakuna msaada wowote.

Hata hivyo, Rais Magufuli amekabidhi suala hilo kwa RPC na kusema “Mimi sina msaaada wowote mlimuamini wenyewe huyo mama, nendeni mkampeleke Polisi.”
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad