Mange amlipua Diamond "Umemposti Harmonize ili tu Umpungizie kiki ya Album yake"


Mange KimambiAmeandika:

"Mdogo wangu onyesha mapenzi kwa mtu kwa vitendo na sio ili tu ujisafishe kwa jamii. Na ndo maana ukimwongelea Kiba vizuri huwa anawaka moto na kukuita mnafki.Sasa unampostije Harmo kwa insta yako alafu mtu akiingia wasafi tv na radio hakuna hata posti moja ya event ya Harmo? Yani as far as wasafi is concerned jana hakukuwa na event kubwa. Hamjampa airtime kwa tv wala radio.It doesn’t make any sense.

Yani hapa unakuwa una prove maneno ya Kiba kuwa nyuma ya panzia unamwaribia sana ila mbele ya jamii unataka kujionyesha kuwa wewe huna tatizo nae. .

By the way sio lazma umsapoti mtu, inawezekana alikukosea sana ila kama ni hivyo hakuna haja ya kuwa mnafki kwa kuweka kaposti wakati hutaki wasafi impe airtime. Ila mi nakuelewa this is a business move, hutaki public ione kuna tatizo Kati yako na Harmo sababu umejifunza kutoka kwa beef la Ali kuwa wewe ukiwa na beef na mtu ni unampandisha chati balaaaaa. Ila ushauri mdogo tu kama kweli huna tatizo nae jana ilibidi wasafi wamepo kwenye event kama media zingine. Pia ulisema wasafi itakuwa media tofauti na clouds, sasa mbona mnaelekea kule kule?

It’s almost like umemposti ili tu umpungizie kiki. If you really mean it watu wangeona kupitia sapoti ya wasafi media" ameandika Mange

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad