Mashoga wazidi kuongezeka Bongo, nini hasa sababu? Au wateja wamezidi kuwa wengi?

Nimepita pita huko mitaani hasa Kinondoni, kwenye mahotel, mabar na kumbi za starehe, nimeshangaa sana kuona wakaka poa kibao, tena wamejiremba kama wadada vile, nao wakijiuza kama Machangudoa

Nini hasa tatizo ?? Toa maoni na mtazamo wako juu ya suala hili labda tunaweza kupata wazo jipya kuhusu hawa watu…
Tags

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. watu washazoea kula ndogo siku hizi wanaona sawa tuu ya demu na hao wasenge watu wanabomoa tuu

    ReplyDelete
  2. ina maana huelewi kuwa mwisho wa dunia umekaria?kwani maandiko yalisemaje juu ya daliliza siku za mwisho?basi ndo hizo.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad