Mbwana Samatta Aweka Wazi Uongozi Unaosimamia Shughuli zake



NI Headlines za mchezaji Mbwana Samatta ambae time hii ameweka wazi juu ya uongozi unaosimamia shughuli zake, mchezaji huyo anayekipiga kwenye club ya Aston Villa kupitia ukurasa wake wa twitter aliwajulisha mashabiki na kuandika

‘Ningependa kuwataarifu Kuwa kampeni zote za matangazo na biashara zitakuwa zinafanyika chini ya Emmanuel Ale, Tafadhali piga/WhtsApp +255768259371’- Samatta 
 HIZI HABARI KAMA HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL BLOG <DOWNLOAD HAPA>

Maamuzi hayo yamefanywa na mchezaji huyo baada ya hivi karibuni kuibuka kwa watu wasiojulikana wakidai wanamsimamia Mbwana Samatta huku wengine wakifunguka feki akaunti zenye jina la Samatta wakiomba misaada mitandaoni.
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad