Mchungaji Mboro kutoka Afrika Ya Kusini ameomba kupatiwa Tsh Milioni 230 kwaajili ya safari ya kwenda kuzimu kwaajili ya kupambana na pepo ambae amesababisha Corona Virus.
Mchungaji Mboro anasema haina haja ya kutumia gharama katika tafiti za kisayansi kwani sababu ya kile kinachotokea kwa sasa ni pepo mchafu ambae yupo kuzimu.
Mchungaji Afrika Ya Kusini Aomba Mil 230 Kwa Ajili ya Kwenda Kuzimu Kupambana na Pepo la Corona
2
March 31, 2020
Tags
Wacha utapeli, kama kweli ntamwambia Tlamp atume badala ya kupoteza kwenye Ventileta. Adika Akaunti yako ya Mpesa.
ReplyDeleteUsitume kwanza, ngoja Manabi na Mitume wa Bongo wahakiki kwanza.
Delete