Mtangazaji na Mshereheshaji wa Maisha Club HK amefunguka haya Kuhusu Marehemu Mzee Mengi:
"Baba umeondoka na roho yako. Waliobaki wanashindwa hata kutununulia maski Masikini. Ndio kwanza wanatulingishia na Mask zao za bei. Mungu akuweke mahala pema peponi. AMEN #coronaNoma" HK
Ikumbukwe Mzee mengi kabla ya uhai wake alikuwa mstari wa mbele katika kusaidia watu hasa katika majanga mbali mbali, pia alikuwa mstari wa mbele kuwakumbuka walemavu ambapo kila mwaka alikuwa anawafanyie sherehe ya kipekee kuburudika nao