Misri "Afisa wa Juu wa Zamani wa JESHI Aliyeasi Anyongwa



Aliyekuwa Afisa wa ngazi ya Juu katika Jeshi la Misri, Hisham al-Ashmawy amenyongwa jana Machi 04 baada ya kuhukumiwa kifo kutokana na kuhusika na mashambulio kadhaa

Muasi huyo aliyekuwa Afisa wa kikosi maalumu cha Misri na baadaye kuondoka, aliongoza kundi la waasi la Ansar Bayt al-Maqdis lenye makao yake huko Sinai

Al-Ashmawy ambaye Kundi lake hilo lilijiunga na kundi la Dola la Kiislamu mwaka 2014, alikamatwa Libya mwishoni mwa mwaka 2018 na kupelekwa Misri Mei 2019

HIZI HABARI KAMA HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL BLOG <DOWNLOAD HAPA>

Kati ya makosa aliyohukumiwa ni pamoja na kupanga shambulio la mwaka 2014 lililosababisha kuuawa Wanajeshi 22 wa Misri na pia kuhusika na jaribio la kumuua Waziri wa zamani wa Mambo ya Ndani mwaka 2013
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad