Mitaa Inaongea ETI Mama Dangote na Anko Shamte Penzi Lao Chali

Ndoa ya Mama Dangote na Mumewe Anko Shamte matatani.. Wawili hawa wanadaiwa kuwa wana mgogoro mzito... Na Inawezekana kuwa wamesha achana kwani tayari wamepigana BLOCK katika mitandaoni ya Kijamii

HIZI HABARI KAMA HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL BLOG <DOWNLOAD HAPA>

Wambea wanasema toka last week hakuna maelewano na kumbe Mama Dangote na Mumewe Anko Shamte washatwangana block muda kama inavyoonekana kwenye picha hapa chini



Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Mungu si Asumani.
    Wewe umfanyie Inda na visa mtoto wa watu mskini ya Mungu

    mpaka arudi Kenya. na Ameshtakia kwa Allah.. kipigo chake anajua mwenyewe na Ufalme wake kwa viumbe vyake na kwa njia ataka yeye na muda autakao. JIRUDINI MAKHULUKI NA NYENYEKEENI.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad