Kuelekea mpambano wa watani wa jadi Yanga dhidi ya Simba siku ya Jumapili, Mfanyabiashara maarufu nchini Mohamed Dewji ameahidi kutoa tiketi mia tatu kwa mashabiki watakaojitokeza siku ya Ijumaa na Jumamosi katika Taasisi ya Tiba ya Mifupa Muhimbili (MOI) iliyopo jijini Dar es salaam kuchangia damu, ili kuokoa maisha ya majeruhi wa ajali mbalimbali.