Mwanamuziki mkongwe Aurlus Mabele afariki kwa Corona
0
March 20, 2020
Mwanamuziki mkongwe wa miondoko ya Soukous Aurlus Mabele amefariki dunia jijini Paris nchini Ufaransa.
Kwa mujibu wa NationBreaking kifo cha Mabele kimetokana na kiharusi na homa ya Covid-19.
Taarifa hiyo imetolewa na msanii mwenzake wa LOKETO Nyboma Mwandido.
Tags