Mwijaku "Diamond Anatakiwa Kupewa Miaka 5 Ndo Ataoa Tena Mwanamke wa Kawaida...Niliangalia Familia yake Nikajua Hawezi Kuoa"


Msanii wa Bongo movie na mtangazaji wa Classic Fm Mwijaku amefunguka na kusema kuwa nilichokisema kimetokea kuwa Diamondplatnumz hawezi kamwe kumuoa Tanashadonna aliona haya

Niliangalia Familia yake tu nikajua hapo hamna kitu nikapata jibu, ukitaka kumjua mtu angalia familia yake Mama, Baba , Wadogo zake au wajomba zake , Diamond Kuoa tumpe miaka mitano tena ataoa mwanamke wa kawaida sana ambae sio staaa

Mwijaku pia ameongeza kuwa Diamondplatnumz anaweweseka sana kwa Hamisamobetto na ndio mwanamke ambaye hatamsahau kamwe 
“KUNA RAFIKI YANGU ALINAMBIA ANATAKA AKAMUONE HAMISSA BAADA YA KUKUTANA NAYE ALITETEMEKA SANA”

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad