Nahisi Mke Wangu Anampenda Mpangaji Mwenzangu Ambaye ni Bachela


Kwa dalili hizi nahisi jamaa amependwa. Na sijui kama bado hajapewa mzigo.

Dalili zenyewe ni hizi

1. Mke wangu haishi kusifu maisha ya jamaa, japo Ni ya kawaida tu.

2. Haishi kusifia michepuko / mademu anaoingiza na kubadilisha kila day.

3. Mke wangu alipoondoka jamaa alitaka kuniulizia akasita.


Maneno 14 Ambayo Mwanamke Anatamani Umwambie


4. Yule mwanangu mdogo anapenda kwenda kule kwenye chumba Cha jamaa. Na mke wangu utamsikia mwa huyu kaka anapenda watoto kweli...

5. Jamaa akiniona ana Kama aibu flani hivi na anawahi kunisalimia kwa ka woga hivi.
Tags

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Wee vipi wewe..???

    Utakaajena Jilani hujui kazi yake..!!

    walemademuwote wao ingia huwa anawasuka aukwa lugha nyepesimni Msusi
    nawte wanamlipa pesa kutoana na dizaini wannazo suka.

    Sa shemela asikudanganye aiivyo suka katika malipo alijiliza shida kwamba Bajaji yako iko geleji ndiyo maana hajui audai vipi..?!!

    MADENI YA KUJITAFUTIA. BAJAJI YENYWE MBOVU. LUDINI KIJIJINI BASI.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad